MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AMETOA MKONO WA EID EL HAJJ

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la   Mapinduzi  Mama Mariamu Mwinyi amewataka watoto wanaolelewa katika vituo mbali mbali nchini kuwa makini na waangalifu wakati wanapokwenda na kurudi katika viwanja vya sikukuu, ili kuepukana na changamoto mbali mbali zinazoweza kuwakuta. Mama Mariamu ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya ‘Zanzibar Maisha Bora Foundation